Kama Diamond anamuajiri Kitenge na Kumwembe basi jamaa wa pale Mawingu wajitazame upya

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media

Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.

Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
 
Hiyo wasafi yenyewe ni ya Clouds.
 
Na wewe buana unaandika kama sio wa mjini?,Mawingu na Wasafi si za mtu mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…