Wewe una uhakika gani kusaga ana share kubwa wakati yeyemwenyewe kasema sio mmiliki wa wasafi.Share alizonazo Diamond hawezi kua mwamuzi wa mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe una uhakika gani kusaga ana share kubwa wakati yeyemwenyewe kasema sio mmiliki wa wasafi.Share alizonazo Diamond hawezi kua mwamuzi wa mwisho
Wale wafanyakazi wa clouds hasa soundy brown wanavieleele utazani clouds ni ya baba yao mondy kashaanza kazi watanyooka taratibu ila kwa millardayo mtoe hayupo kwenye hili kundi.Kama Diamond kaweza kutumia ushawishi wake na uwezo wake wa fedha kuwavutia Edo na na Kitenge kukubali kusainiwa na wasafi media
Basi ni mda muafaka kwa kunguni wa pale mawingu kujiangalia upya kuwa Platnumz sio level yao, ni muda muafaka sasa vijana hawa wenye wivu na chuki wakiongozwa na Bdzn,Sudy,Ayo kujiangalia upya na kuacha chuki zao kwani ipo siku platnumz atakuja kuwa bosi wao.
Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuendesha wasafi bila ubaguzi, wasafi inacheza ngoma zote bila ubaguzi japo, imeshawaita baadhi ya wasanii kwenye interview lakini wanakataa sababu ya chuki binafsi.
We jamaa ni wa ajabu sana! Diamond ana 45% ya Hisa halafu unasema bosi wake ni Kusaga?! Yaani unashindwa kutofautisha kati ya Bosi na Business Partner?!Hawezi, bosi wake Joe ndio yupo juu ya kila kitu. Amekuwa bosi wake miaka yote tangu aanze kuwakawaka.
Yaani Wewe Unaweza Kubishana Na Picha Ukutani.Hilo la Kusaga kumiliki share mwenyewe alikanusha wazi hana hisa Wasafi.
Za mtu mmoja vipi wakati Mke wa Kusaga ana 51% na Diamond ana 45% ya hisa?! Hivi kwenye share allocation ya namna hiyo unaweza kusema Wasafi yote ni Mawingu?!Na wewe buana unaandika kama sio wa mjini?,Mawingu na Wasafi si za mtu mmoja?
Aah aah aah!Kibakuli anafungua lini na yeye FM na tv?
Acha kudanganya watu wewe!! Of course, kwenye ulimwengu wa biashara mtu anaweza kupewa hisa kama mtaji wa jina au kazi yake! Kwa mfano, kampuni inaweza kumpa CEO hisa ili nae sehemu ya kampuni ili hatimae asijione ni mwajiriwa tu bali sehemu ya biashara husika!Hana mamlaka nazo hata kidogo. N lini dai aliwahi hojiwa akataja n vya kwake zaidi n jina linalo tumika ndo vinavyo wapa nyie verification
Hana mamlaka nazo hata kidogo. N lini dai aliwahi hojiwa akataja n vya kwake zaidi n jina linalo tumika ndo vinavyo wapa nyie verification
Hao jamaa hawataki kukubali Mondy ni habari nyingine na pia wana wivu alafu pia mondi ndio CEO wa wasafi ataukiangalia studio ya wasafi yeye ndio amedesign kwa mujibu wa wafanyakazi wake yeye ndio mwenye power kubwa pale hatakwenye kulipa mishahara na Kila mtu anaetaka kuonesha kipindi chake wasafi lazima aonane na mondi na ndio mtu anayeingia nae makubaliano mfano dude wa tamthiliya ya bongodaresalaam ameongea hili na sasa hiv amesema wamekubali maslahi na mondi na rasmi atarusha bongodaresalaam season 2 Kama huyo kusaga ana nguvu hio mnayosema hapa mbona ngoma za lady Jay Dee zinapigwa ingawa wanaugomvi mkubwa na jide lakini pia jide amefanya pia interview hapo hapo wasafi.Za mtu mmoja vipi wakati Mke wa Kusaga ana 51% na Diamond ana 45% ya hisa?! Hivi kwenye share allocation ya namna hiyo unaweza kusema Wasafi yote ni Mawingu?!
we unamjua mke wa kusaga anaitwa nan..njoo brela uangalia usajili wa hiyo kampuni ya wasafi ..nasibu share zake ni chini ya asilimia 30%..na hiyo kampuni inamilikiwa na wa tu watatu.Endelea kuona Mange ndio informer wako kusaga hana shea yoyote wasafi tv or fm nenda kaangalia umiliki wa ile tv tcra hakuna jina la
Kusaga wala mke wake pale
Acha uongo mzee babawe unamjua mke wa kusaga anaitwa nan..njoo brela uangalia usajili wa hiyo kampuni ya wasafi ..nasibu share zake ni chini ya asilimia 30%..na hiyo kampuni inamilikiwa na wa tu watatu.
Na asiyejua nafasi ya CEO ni kwamba hata pipi hajawahi kuuza!!! More often than not, Shareholder/Investor kama Mke wa Kusaga (wana-force kusema Kusaga kwa sababu hawajui kwamba yule Mngazija kwao wana pesa) huwa hawaingilii kwenye day-to-day operations ya kampuni!Hao jamaa hawataki kukubali Mondy ni habari nyingine na pia wana wivu alafu pia mondi ndio CEO wa wasafi ataukiangalia studio ya wasafi yeye ndio amedesign kwa mujibu wa wafanyakazi wake yeye ndio mwenye power kubwa pale hatakwenye kulipa mishahara na Kila mtu anaetaka kuonesha kipindi chake wasafi lazima aonane na mondi na ndio mtu anayeingia nae makubaliano mfano dude wa tamthiliya ya bongodaresalaam ameongea hili na sasa hiv amesema wamekubali maslahi na mondi na rasmi atarusha bongodaresalaam season 2 Kama huyo kusaga ana nguvu hio mnayosema hapa mbona ngoma za lady Jay Dee zinapigwa ingawa wanaugomvi mkubwa na jide lakini pia jide amefanya pia interview hapo hapo wasafi.
na hivi ndivyo walivyotaka nyie mnaofkiria mwisho waukuta mjue ili wao wapige hela kwa vita feki ya clouds na wa safi ...wakati zote ni za mtu mmoja anawatekenya akili zenu ...njoo brela uangalie usajili wa hiyo kampuni ya wasafi utawajua wamiliki.Wewe una uhakika gani kusaga ana share kubwa wakati yeyemwenyewe kasema sio mmiliki wa wasafi.
Kwani mkuu mjukuu wa baba yangu ambaye ni mwanangu si ni ndugu wa damu wa baba pia? Si anahaki ya kumpa urithi tu japo si mwanaye wa kumzaa?Hiyo wasafi yenyewe ni ya Clouds.
kijana una fkiria pafupi sana yani kama umeshikiwa akili au sijui niseme una ushabiki ulipotiliza sjui umri wako bado mdogo,..njoo brela utajifunza mambo mengi sana kijana..mengi ya haya makampuni hasa yakibongo watu wanasajili kwa niaba ya mtu flani kwa malengo flani..hasa wanasiasa na wafanya biashara wengine kwa malengo yao wanayoyajua...Hao jamaa hawataki kukubali Mondy ni habari nyingine na pia wana wivu alafu pia mondi ndio CEO wa wasafi ataukiangalia studio ya wasafi yeye ndio amedesign kwa mujibu wa wafanyakazi wake yeye ndio mwenye power kubwa pale hatakwenye kulipa mishahara na Kila mtu anaetaka kuonesha kipindi chake wasafi lazima aonane na mondi na ndio mtu anayeingia nae makubaliano mfano dude wa tamthiliya ya bongodaresalaam ameongea hili na sasa hiv amesema wamekubali maslahi na mondi na rasmi atarusha bongodaresalaam season 2 Kama huyo kusaga ana nguvu hio mnayosema hapa mbona ngoma za lady Jay Dee zinapigwa ingawa wanaugomvi mkubwa na jide lakini pia jide amefanya pia interview hapo hapo wasafi.
CORRECTION: Diamond 45%, Mke wa Kusaga 53% na mzee Ali Khatibu 2%.TCRA ilitoa majina ya wamiliki ambapo Mondi ana 48%,mke wa kusaga 50% na kuna jamaa ana 2%
Acha kudanganya watu wewe! Huwezi kusajiri kwa niaba ya mtu halafu ukampa 45% ya share!! Hisa za kupewa HAZIWEZI kuzidi 10%, NEVER EVER labda kama unayempa ni mkeo au mwanao ambao unajua kabisa it's still your shares kwa sababu mnarithiana!kijana una fkiria pafupi sana yani kama umeshikiwa akili au sijui niseme una ushabiki ulipotiliza sjui umri wako bado mdogo,..njoo brela utajifunza mambo mengi sana kijana..mengi ya haya makampuni hasa yakibongo watu wanasajili kwa niaba ya mtu flani kwa malengo flani..hasa wanasiasa na wafanya biashara wengine kwa malengo yao wanayoyajua...
Diamond sio mpumbavu Kama wasanii wenu wengi wa kibongo kapambana Sana kuijenga wasafi na sasa wasafi imekuwa kubwa alafu mondi uwezo wa kifedha anao mkubwa Sana na sio mtu wakuendeshwa ndo maana amekuwa mkubwa Sana na akagombana na ruge kisa maslahikijana una fkiria pafupi sana yani kama umeshikiwa akili au sijui niseme una ushabiki ulipotiliza sjui umri wako bado mdogo,..njoo brela utajifunza mambo mengi sana kijana..mengi ya haya makampuni hasa yakibongo watu wanasajili kwa niaba ya mtu flani kwa malengo flani..hasa wanasiasa na wafanya biashara wengine kwa malengo yao wanayoyajua...
naweza nikaongea fact kumbe vijana humu mna ushabiki wenu unawaendesha kuamini unavyoamini..Acha kudanganya watu wewe! Huwezi kusajiri kwa niaba ya mtu halafu ukampa 45% ya share!! Hisa za kupewa HAZIWEZI kuzidi 10%, NEVER EVER!