Kama Diamond anamuajiri Kitenge na Kumwembe basi jamaa wa pale Mawingu wajitazame upya

Wale wafanyakazi wa clouds hasa soundy brown wanavieleele utazani clouds ni ya baba yao mondy kashaanza kazi watanyooka taratibu ila kwa millardayo mtoe hayupo kwenye hili kundi.
 
Hana mamlaka nazo hata kidogo. N lini dai aliwahi hojiwa akataja n vya kwake zaidi n jina linalo tumika ndo vinavyo wapa nyie verification
Acha kudanganya watu wewe!! Of course, kwenye ulimwengu wa biashara mtu anaweza kupewa hisa kama mtaji wa jina au kazi yake! Kwa mfano, kampuni inaweza kumpa CEO hisa ili nae sehemu ya kampuni ili hatimae asijione ni mwajiriwa tu bali sehemu ya biashara husika!

Wakati mwingine mtu anaweza kupewa hisa ili ku-meet ile "at least two shareholders" condition kwenye kuanzisha kampuni! Hawa wanaopewa hisa ku-meet at least 2 shareholders condition ndio zinakuwa hisa za kisiasa!!!

Hata hivyo, there's no way mtu anaweza kupewa 45% ya hisa... HAIWEZEKANI unless kama ni mkeo au mwanao!!! More often than not, share zinazotolewa kwa mtindo KATU haziwezi kuzidi 10%!
 
Za mtu mmoja vipi wakati Mke wa Kusaga ana 51% na Diamond ana 45% ya hisa?! Hivi kwenye share allocation ya namna hiyo unaweza kusema Wasafi yote ni Mawingu?!
Hao jamaa hawataki kukubali Mondy ni habari nyingine na pia wana wivu alafu pia mondi ndio CEO wa wasafi ataukiangalia studio ya wasafi yeye ndio amedesign kwa mujibu wa wafanyakazi wake yeye ndio mwenye power kubwa pale hatakwenye kulipa mishahara na Kila mtu anaetaka kuonesha kipindi chake wasafi lazima aonane na mondi na ndio mtu anayeingia nae makubaliano mfano dude wa tamthiliya ya bongodaresalaam ameongea hili na sasa hiv amesema wamekubali maslahi na mondi na rasmi atarusha bongodaresalaam season 2 Kama huyo kusaga ana nguvu hio mnayosema hapa mbona ngoma za lady Jay Dee zinapigwa ingawa wanaugomvi mkubwa na jide lakini pia jide amefanya pia interview hapo hapo wasafi.
 
Endelea kuona Mange ndio informer wako kusaga hana shea yoyote wasafi tv or fm nenda kaangalia umiliki wa ile tv tcra hakuna jina la
Kusaga wala mke wake pale
we unamjua mke wa kusaga anaitwa nan..njoo brela uangalia usajili wa hiyo kampuni ya wasafi ..nasibu share zake ni chini ya asilimia 30%..na hiyo kampuni inamilikiwa na wa tu watatu.
 
we unamjua mke wa kusaga anaitwa nan..njoo brela uangalia usajili wa hiyo kampuni ya wasafi ..nasibu share zake ni chini ya asilimia 30%..na hiyo kampuni inamilikiwa na wa tu watatu.
Acha uongo mzee baba
 
Na asiyejua nafasi ya CEO ni kwamba hata pipi hajawahi kuuza!!! More often than not, Shareholder/Investor kama Mke wa Kusaga (wana-force kusema Kusaga kwa sababu hawajui kwamba yule Mngazija kwao wana pesa) huwa hawaingilii kwenye day-to-day operations ya kampuni!

Utakuwa shareholder/Investor wa ajabu eti uwe unaangalia hadi nani anaajiriwa wakati kuna watendaji wa kampuni, Mtendaji Mkuu wa Kampuni!
 
Wewe una uhakika gani kusaga ana share kubwa wakati yeyemwenyewe kasema sio mmiliki wa wasafi.
na hivi ndivyo walivyotaka nyie mnaofkiria mwisho waukuta mjue ili wao wapige hela kwa vita feki ya clouds na wa safi ...wakati zote ni za mtu mmoja anawatekenya akili zenu ...njoo brela uangalie usajili wa hiyo kampuni ya wasafi utawajua wamiliki.
 
kijana una fkiria pafupi sana yani kama umeshikiwa akili au sijui niseme una ushabiki ulipotiliza sjui umri wako bado mdogo,..njoo brela utajifunza mambo mengi sana kijana..mengi ya haya makampuni hasa yakibongo watu wanasajili kwa niaba ya mtu flani kwa malengo flani..hasa wanasiasa na wafanya biashara wengine kwa malengo yao wanayoyajua...
 
Acha kudanganya watu wewe! Huwezi kusajiri kwa niaba ya mtu halafu ukampa 45% ya share!! Hisa za kupewa HAZIWEZI kuzidi 10%, NEVER EVER labda kama unayempa ni mkeo au mwanao ambao unajua kabisa it's still your shares kwa sababu mnarithiana!
 
Diamond sio mpumbavu Kama wasanii wenu wengi wa kibongo kapambana Sana kuijenga wasafi na sasa wasafi imekuwa kubwa alafu mondi uwezo wa kifedha anao mkubwa Sana na sio mtu wakuendeshwa ndo maana amekuwa mkubwa Sana na akagombana na ruge kisa maslahi
 
Acha kudanganya watu wewe! Huwezi kusajiri kwa niaba ya mtu halafu ukampa 45% ya share!! Hisa za kupewa HAZIWEZI kuzidi 10%, NEVER EVER!
naweza nikaongea fact kumbe vijana humu mna ushabiki wenu unawaendesha kuamini unavyoamini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…