Kama Diamond anamuajiri Kitenge na Kumwembe basi jamaa wa pale Mawingu wajitazame upya

sawa bdozen
Usingewaita binadamu wenzako kunguni ...point yako isingeeleweka!!?? Acha chuki na ushabiki wa kipuuzi.... Utafanikiwa yaani kwa huu mwandiko wako unaonyesha unachuki kali sana
 
Wale wafanyakazi wa clouds hasa soundy brown wanavieleele utazani clouds ni ya baba yao mondy kashaanza kazi watanyooka taratibu ila kwa millardayo mtoe hayupo kwenye hili kundi.
kama hyupo awe anaripoti habri za wcb
 


Dogo umekulia wapi, Wasafi si ya Diamond.....anatumiwa tu kama kioo pale.
 
Kusaga anamiliki 51pc ya Wasafi

Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.

Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
Diamond ana bifu na clouds.
Hapo hapo bosi WA clouds ni shareholder wa wasafi media
Fascinating
 
naweza nikaongea fact kumbe vijana humu mna ushabiki wenu unawaendesha kuamini unavyoamini..
Acha mbwembwe... facts uzitoe wapi! Mbona umebaki "njoo BRELA! Njoo BRELA" Kwanini usiweke hapa hizo facts hadi utake mtu aende BRELA!

Narudia, HAKUNA MWEHU WA KUWEZA KUMPA MWENZAKE 45% YA SHARE, kinyume cha hiyo fact, weka hiyo share allocation yako!
 
Dogo umekulia wapi, Wasafi si ya Diamond.....anatumiwa tu kama kioo pale.
Man, hivi mtu mwenye 45% anatumiwa tumiwa vipi?! Yaani na wewe unaamini mtu anaweza kupewa 45% ya share kwa ajili ya jina lake, SERIOUS?!
 
Kusaga anamiliki 51pc ya Wasafi

Kitenge amekuwepo EFM hajawahi wasumbua Clouds
Kumwembe sijawahi elewa anaongea nini.

Uzuri ni kuwa kwenye faida bado wenye Clouds wanapata 51
Sasa Mondi anayepata asilimia zaidi ya 40 na B12 aliyeajiriwa unawafananishaje?
 
Sasa Mondi anayepata asilimia zaidi ya 40 na B12 aliyeajiriwa unawafananishaje?
Akikujibu, naomba uni-tag! Yaani hadi leo watu wanashindwa kutofautisha kati ya Business Partner na Bosi!! Yaani mtu awe na share 45% halafu useme ni Mwajiriwa wa yule mwenye 55%!!!
 
Haya kafanye kazi sasa maana kutwa unatumia nguvu sana kumtetea Diamond wakati ana maisha yake na wewe katafute maisha yako kapambane kijana
 
Nimepita mtaani nyumba kama 14 zote nasikia tu wasafi fm... wana dj anagonga ngoma kama chizi[emoji23][emoji23]
 
naweza nikaongea fact kumbe vijana humu mna ushabiki wenu unawaendesha kuamini unavyoamini..
Acha uwongo,Diamond alivyopambana kuisimamisha Wasafi leo mtu aitumie kizembe bila yeye mwenyewe kunufaika,atakua mpumbavu basi,kwa mtu aliyeanzia chini kabisa tunamuona leo anamiliki 45% ya media house mnaona ni kitu kidogo?hebu tupunguze chuki kidogo,kijana amepambana.
 
Mke wake na sio Kusaga ila huwezi jua labda Kusaga alimpa mke wake kuficha watu wasijue ila kaa ujue Mke na Mume ni mwili mmoja
Inaweza kuwa kweli ni za Kusaga au za mke wake kwa sababu yule dada kwao pesa ipo! Na mimi naamini ni ya mke wake, kwa sababu ukiangalia mtu wa tatu kwenye ile shareholding ni Mzee Ali Khatibu. Sehemu nyingi zilizo na mkono wa yule dada, mzee Ali hakosekani... nahisi atakuwa ni ndugu yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…