johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama za kupeana basi apewe Mjukuu wa baba wa taifa mh Yericko Nyerere au Kaka yake Steve Nyerere πΌKumbe ubunge ni nafasi za kupeana tu!!
Makonda kama anapenda kujaribu ubunge aende kwao koromije, mjini kunahitaji watu wenye akiliRais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni
Baadae Mlale Unono πππ₯
Tupe mfano wa mtu wa Mjini mwenye akili πΌMakonda kama anapenda kujaribu ubunge aende kwao koromije, mjini kunahitaji watu wenye akili
Mfano ni johnthebaptistTupe mfano wa mtu wa Mjini mwenye akili [emoji209]
Mimi Mnyalu wa Kalenga ππMfano ni johnthebaptist
KingwenduTupe mfano wa mtu wa Mjini mwenye akili πΌ
Kingwendu Kwao porini Kisarawe huko πKingwendu
Kwa sheikh Abdala MkwawaMimi Mnyalu wa Kalenga ππ
Wacha weRais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni
Baadae Mlale Unono πππ₯
Siasa ni sayansi πWacha we
Hali ya Kisiasa Kigamboni imeshamgeuka rafiki yangu Ndugulile.Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni
Baadae Mlale Unono πππ₯
Kabisa Mkuu yaani mtu kabisa na akili zake timamu ampigie kura bashite awe kiongozi wake.Makonda kama anapenda kujaribu ubunge aende kwao koromije, mjini kunahitaji watu wenye akili
Tuzidi kumuombeaHali ya Kisiasa Kigamboni imeshamgeuka rafiki yangu Ndugulile.
Ni vyema akaenda huko ili ajipange akirejea awe na kitu kipya
Unaweza kujikuta Wewe Ndio umerogwaKabisa Mkuu yaani mtu kabisa na akili zake timamu ampigie kura bashite awe kiongozi wake.
Akyanane huyo lazima atakuwa amerogwa
Yasimkute yaliyomkuta Kihiyo Temeke.Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa
Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni
Baadae Mlale Unono πππ₯
Mbona Prof Assad hayakumkuta?Yasimkute yaliyomkuta Kihiyo Temeke.
Assad alikuwa mwalimu UDSM, pale hakuna vihiyo kama kina bashite.Mbona Prof Assad hayakumkuta?
Kihiyo alikuwa hakuingia darasani kabisa π
Bashite kasoma Ushirika Moshi na Chuo Cha Uongozi mkabala na Ikulu ya Magogoni πΌAssad alikuwa mwalimu UDSM, pale hakuna vihiyo kama kina bashite.