Pre GE2025 Kama Dkt. Ndugulile atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO (Afrika) basi Komredi Makonda atakuwa na Nafasi ya kugombea Ubunge Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa

Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni

Baadae Mlale Unono [emoji1][emoji1][emoji91]
Taarifa zilizopo Makonda anaenda Nyamagana na akishinda anapewa uwaziri na bimkubwa
 
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Africa

Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni

Baadae Mlale Unono 😄😄🔥
Pombe za offer zina shida sana
 
Sifa za kusoma udsm na ushirika Moshi kwa shahada ya kwanza principal E mbili na S,ni standard duniani kote
Miaka inakwenda mbio.

Miaka yetu kwa E mbili na S hata Advanced diploma sina hakika kama ungesoma 😆😆.

Walisoma ordinary diploma miaka miwili kupata sifa za ziada kujiunga chuo kikuu.

Ni kipindi tukiwa na chuo kikuu kimoja, Morogoro na Muhimbili vikiwa vitivo. Ushindani ulikuwa mkubwa sana.

Huko ndiko tulikotoka.
 
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa Kigamboni utakuwa Wazi na itakuwa fursa muhimu kwa Paul Makonda na Yericko Nyerere wa Chadema kuchuana kuelekea Mjengoni

Baadae Mlale Unono 😄😄🔥
hakuna mtu anampa kura huyo maiti Makonda

the dude is just unvotable!
 
Back
Top Bottom