Pre GE2025 Kama Dkt. Ndugulile atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO (Afrika) basi Komredi Makonda atakuwa na Nafasi ya kugombea Ubunge Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa zilizopo Makonda anaenda Nyamagana na akishinda anapewa uwaziri na bimkubwa
 
Hiyo nafasi inamfaa prof janabi
 
Pombe za offer zina shida sana
 
Sifa za kusoma udsm na ushirika Moshi kwa shahada ya kwanza principal E mbili na S,ni standard duniani kote
Miaka inakwenda mbio.

Miaka yetu kwa E mbili na S hata Advanced diploma sina hakika kama ungesoma πŸ˜†πŸ˜†.

Walisoma ordinary diploma miaka miwili kupata sifa za ziada kujiunga chuo kikuu.

Ni kipindi tukiwa na chuo kikuu kimoja, Morogoro na Muhimbili vikiwa vitivo. Ushindani ulikuwa mkubwa sana.

Huko ndiko tulikotoka.
 
hakuna mtu anampa kura huyo maiti Makonda

the dude is just unvotable!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…