Pre GE2025 Kama Dkt. Ndugulile atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO (Afrika) basi Komredi Makonda atakuwa na Nafasi ya kugombea Ubunge Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unazungumzia kusomeshwa na serikali, minimum qualification ya degree ni E mbili na S
 
Nilikua na one a level,nkaenda apply udsm,2002,nliosoma nao a level na wakapata 3 yenye E waliapply na wakasoma private, minimum qualification ya degree ni E mbili na S
Ulipata "one a level" lakini unaandika "nkaenda"
"Nliosoma nao"
!!!!!
Kweli elimu ya bongo ni "takataka".
 
Nilikua na one a level,nkaenda apply udsm,2002,nliosoma nao a level na wakapata 3 yenye E waliapply na wakasoma private, minimum qualification ya degree ni E mbili na S
Hard to verify wha'chu sayin here

Tuseme una 50% 50% kua true or false.....sidhani kama mimi nakuamini with this,I cant!

Pia kumbuka UDSM kuna rushwa kama mashirika mengine yeyote nchi hii,hivyo anything is possible
 
Kuna qualifications za kusoma degree Kama ilivyo kusoma a level,huwezi Fanya mtihani a level Kama huna c tatu o level, minimum qualification ya degree kwa mfumo wetu ni principal pass e mbili na S moja
 
Kabisa Mkuu yaani mtu kabisa na akili zake timamu ampigie kura bashite awe kiongozi wake.
Akyanane huyo lazima atakuwa amerogwa
Huwajui CCM mkuu, mtu hamtaki lakini anampigia kura huku machozi yanamlengalenga Kisha kaambiwa na mwenyekiti wake "nileteeni Makonda"
 
Nilikua na one a level,nkaenda apply udsm,2002,nliosoma nao a level na wakapata 3 yenye E waliapply na wakasoma private, minimum qualification ya degree ni E mbili na S
D mbili mkuu, mwenye E mbili akienda degree mwenye diploma itakuaje!! Kuna mwaka hapa walileta siasa walichukua watu wenye E mbili lakini wakafuta. Kwa Tanzania yetu E mbili na S husomi degree
 
Atakuwa amechanganya desa, minimum qualification Kwa degree kwa vyuo vyote Tanzania ni credit 5 kwa O-level na at least uwe na principle pass ya point 5 kwa masomo ya A-level maana yake DDS ukiwa na F though kuna miaka hapo katikati walileta siasa wakachukua mpaka wenye E ila walifuta tena haikudumu hata mwaka

Kuna uwezekano anaosema wameingia kwa EES ikawa wamechukuliwa kwa utaratibu wa MATURE AGE ENTRY
 
Aseeee uzi wa May yamekuja kutokea September
Mara nyingi tukio likitoa zile nyuzi za zamani zinapanda juu huenda kutokana na jina la Ndugulile kutajwa tajwa kwenye baadhi ya nyuzi.... alafu na mie kama nikafukua kabuli kwa ku-comment na wala sikushitukia kama ni uzi wa May mpaka niliposoma comment yako
 
Kabisa Mkuu yaani mtu kabisa na akili zake timamu ampigie kura bashite awe kiongozi wake.
Akyanane huyo lazima atakuwa amerogwa
Tumeshasikia mengi kuwa huwa hawadhindi kwa sanduku la kura wana mbinu zao serikali inazijua.
 
D mbili mkuu, mwenye E mbili akienda degree mwenye diploma itakuaje!! Kuna mwaka hapa walileta siasa walichukua watu wenye E mbili lakini wakafuta. Kwa Tanzania yetu E mbili na S husomi degree
Unasoma degree kwa E mbili na principal moja,ni standard ila kwa kwetu utalipia mwenyewe,diploma ni E na S,D mbili a level ni two hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…