jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Kuna dini za ajabu na za hovyo sana.
Kila siku kutisha watu kuwa duniani hapa ni sehemu mbaya ovu,haifai,ni makao ya shetani.
Na kuwa wameandaliwa makao eti peponi sijui firdaus.
Ila wapo hapa duniani kila siku kutumalizia hewa na kuongeza joto la dunia si muondoke mtuachie dunia yetu.
Upuuzi mtupu,swali mlikua wapi kabla ya kuja duniani.
Dunia ndio peponi hizo zingine ni nadharia na upuuzi.
Wasabato na wengine wa kariba hiyo ondokeni duniani.