Kama Elie Mpanzu amefeli kupata timu ulaya, Clement Mzize asijidanganye, labda bahati imbebe

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.

Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL akataka kufia uwanjani dakika 90 za ubelgiji workrate yake ni sawa na kucheza dakika 15 za epl so mechi moja ya EPL sawa na mechi sita za ubelgiji
Labda abebwe na bahati ila si vingine
 
Dah uko serious kweli?
Mpira wa Ulaya washatoka kwenye "kadenge na mpira" huko n kutimiza majukumu yako mama pia uwe physically fit ..
Ndo maana wengi hua wanashangaa kwann Kibu D ni favourite kwa Kila kocha anaenda simba.. au kwa sasa mzize anahitajika na vilabu vingi kuliko wapiga chenga..
 
Mpanzu si tu hawezi kucheza soka la ulaya bali hata kaskzini ya Afrika, Mpira wa kisasa unachezwa kwa kasi nguvu na maarifa.
Mpanzu akipewa pasi anakaa na mpira mpaka sekunde 20/25 na kuna muda anamsubiri mpinzani ili ampige chenga.
Mpira uo unaweza kucheza Tanzania tena kwenye baadhi ya mechi.
 
Nipe strength za mzize over mpanzu
 
Mzize Ulaya akafanye nini?

Mpira huu huu ambao wote tunamuona akiruka ruka ndio uwe sababu ya kumfanya apate shavu Ulaya?

Daah kweli ndio tumefikia huku?
Nakubaliana na wewe
 
Baada ya kumalizika ligi kuu, NBC premier league, ataandoka yanga, kila mtu na zama zake

Stay tuned
 
Acha kumfananisha Clement Mzize na vitu vya ajabu ajabu
Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.

Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL akataka kufia uwanjani dakika 90 za ubelgiji workrate yake ni sawa na kucheza dakika 15 za epl so mechi moja ya EPL sawa na mechi sita za ubelgiji
Labda abebwe na bahati ila si vingine
 
Wazungu sio wajinga.... Mpanzu ni garasa kama mutale.
 
Ulaya hawaitaji madereva boda boda ulaya wanataka watu talented. Mzinzi hata wydad hachezi
 
Mzize anaweza kucheza Ulaya nchi kama Ubelgiji, Uturuki nk vizuri tu ila EPL siyo rahisi, inahitaji connection.
 
Kila siku tunasema sisi wa Africa hasa Tanzania tunapenda sana kubaguana na kushushana kisa tu wivu. Huyu Mzize wakati anaanza kuonekana Yanga macho kuvimba wengi walimbeza na kumponda kwa kusema hastahili kuwepo Yanga, alipoanza kufanya vizuri mpaka kuonekana Wydad na kule Libya wakaanza kushinikiza auzwe huko asibaniwe.

Haya sasa hivi mnageuza maneno hawezi kucheza Belgium kisa kuna kalambanzite mmoja kipenzi chao alishindwa huko karudi Africa anaonekana bora. Yan hamuoni aibu kila siku dogo anazidi kuwaumbua tu. Anyway tusiseme tukamaliza tusubiri mwisho wa msimu tuone itakuaje ila tupendane tuache wivu aseeh. Dogo anacheza ulaya huyu mimi nimemuona ana kipaji.
 
Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.

Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL akataka kufia uwanjani dakika 90 za ubelgiji workrate yake ni sawa na kucheza dakika 15 za epl so mechi moja ya EPL sawa na mechi sita za ubelgiji
Labda abebwe na bahati ila si vingine
Title na habari uliyoandika haviendani. Mzize anaweza kucheza Ulaya ila inategemea ligi ipi na daraja gani. Haji Mnoga anacheza Ulaya siamini kama ni bora kuliko Mzize hata kama wanacheza nafasi tofauti. Novatus yuko Ulaya kwa nini Mzize ashindwe?

Kucheza Ulaya sio lazima iwe England au Spain pekee. Au tuseme lazima acheze Epl na ligi zingine kubwa. Akifanikiwa kucheza hata league2 au championship ni mafanikio kwake mengine yatajipa hukohuko ilimradi vyeti vya kuzaliwa vinasoma ana miaka 20. After 4 yrs anaweza kucheza ligi mojawapo kubwa Ulaya miongoni mwa kumi bora.
 
Mpanzu si tu hawezi kucheza soka la ulaya bali hata kaskzini ya Afrika, Mpira wa kisasa unachezwa kwa kasi nguvu na maarifa.
Mpanzu akipewa pasi anakaa na mpira mpaka sekunde 20/25 na kuna muda anamsubiri mpinzani ili ampige chenga.
Mpira uo unaweza kucheza Tanzania tena kwenye baadhi ya mechi.
1. Mechi ya Simba vs CS Constantine (inayotoka Kaskazini), Mpanzu alipewa pasi na Ngoma na kisha akaigusa (chini ya sekunde moja) kumpa Kibu D ambaye alifumua shuti likawa bao la kwanza

2. Mechi ya Tabora United vs Simba, Mpanzu alipokea pasi ya Kagoma, chini ya sekunde tano aliipenyeza kwa Ateba ambaye alifumua shuti likawa bao la kwanza

Sasa sijajua hizo sekunde 25 zinahesabiwaje. Hata wewe chukua saa ya simu yako uwashe timer au count down ya sekunde 25 halafu ujihukumu mwenyewe kwamba hivi ni kweli mchezaji mmoja wa timu inayotafuta goli la kuongoza anaweza akakaa na mpira kwa muda wote huo wa sekunde 25 ?!
 
Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa.

Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL akataka kufia uwanjani dakika 90 za ubelgiji workrate yake ni sawa na kucheza dakika 15 za epl so mechi moja ya EPL sawa na mechi sita za ubelgiji
Labda abebwe na bahati ila si vingine
EPL msingi mbio means pumzi uwe nazo kama zote bila ya ivyo hutoboi
 
Baada ya kumalizika ligi kuu, NBC premier league, ataandoka yanga, kila mtu na zama zake

Stay tuned
Hio nafasi imeenda kwa salum mwalimu. Yeye aendelee kufunga na kusali sana ije nafasi nyingine na asali na kufunga kwa ajili ya viongoz wake waliomnyima rizki ikaenda kwa salum mwalimu.
 
Back
Top Bottom