Kama elimu mnaona haifai,acheni tufanye mambo mengine!!

Kama elimu mnaona haifai,acheni tufanye mambo mengine!!

Meja vitalis

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
32
Reaction score
14
Ina maana gani kuweka ufauru form four hadi DIVISION FIVE?! kweli kama viongoz wana busara basi wakachunguzwe upya kwa vipimo maalum kuona kama kuna ambao wamewah kutumia viharibu akili!! WENGINE HAWAFAI! bora kukawa empty kuliko mawazo uchwara! EBO!!
 
Back
Top Bottom