Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Mnapenda Mambo ya bure watz na Ccm yenu📌 Elimu bure .... Afya nayo kwanini isiwe bure? Naomba kufahamu serikali ilichukua kipaumbele gani kutoa elimu bure na sio Afya.
Jibu kilichoulizwa acha kukaza fuvuNapenda kujua umri wako
Kama Marekani taifa kubwa wameshindwa kutoa huduma za afya bure, wanatumia bima itakuwa sisi ?! Labda ugombee ubunge upeleke hoja binafsi bungeni ya kuomba ongezeko la angalau sh.50 kwenye bei ya mafuta ili pesa itakayopatikana ipelekwe hospitalini ili watu watibiwe Bure !![emoji419] Elimu bure .... Afya nayo kwanini isiwe bure? Naomba kufahamu serikali ilichukua kipaumbele gani kutoa elimu bure na sio Afya.
Ujajibu kilichoulizwa. Elimu bure imekuwaje bure na AFYA sio bure? au bajet ya elimu na Afya ikoje ndo nataka nieleweshwe.Kama Marekani taifa kubwa wameshindwa kutoa huduma za afya bure, wanatumia bima itakuwa sisi ?! Labda ugombee ubunge upeleke hoja binafsi bungeni ya kuomba ongezeko la angalau sh.50 kwenye bei ya mafuta ili pesa itakayopatikana ipelekwe hospitalini ili watu watibiwe Bure !!
Hakuna kitu cha bure duniani ukiona unapokea kitu bure ujue kuna mtu kalipa kwa niaba yako anakudanganya bure.Elimu ni bure . Afya nayo kwanini isiwe bure? Naomba kufahamu serikali ilichukua kipaumbele gani kutoa elimu bure na sio Afya.
Hata shule binafsi. Hizo hela serikali inapata wapi kama sio zetu walipa kodi. Jitambue Tanzania inawezekana Elimu kuwa bure na Afya kuwa bure.Hakuna kitu cha bure duniani ukiona unapokea kitu bure ujue kuna mtu kalipa kwa niaba yako anakudanganya bure...
Kwa kodi ipi?Hata shule binafsi. Hizo hela serikali inapata wapi kama sio zetu walipa kodi. Jitambue Tanzania inawezekana Elimu kuwa bure na Afya kuwa bure.