lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
JWTZ kwa kirefu ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA moja ya majeshi imara sana katika Ukanda wetu.
Kuna kipindi wakati wa utawala wa Mh JOSEPH POMBE MAGHUFULI (RIP) walifanya onesho la mapigano na kulinda mipaka huku wakimualika Rais wa nchi kushuhudia.
Kisha katika HOTUBA yake waziri wa ulinzi wa wakati ule Mh MWINYI ambaye kwa sasa ni rais wa Zanzibar alimwambia Mh MAGHUFULI taratibu zote za ulinzi wa nchi , mapungufu yaliyopo na umuhimu wa kutoa ajira kwa vijana wale walioonesha ONESHO lile la Ulinzi wa nchi.
Alitumia msemo unaofanana na huo KAMA ELIMU NI GHALI BASI JARIBU UJINGA lkn yy aliweka katika mazingira ya ulinzi akimaanisha HAKUNA JINSI NCHI LAZIMA ILINDWE KWA GHARAMA ZOZOTE.
I kumbukwe ajira za serikali zilikuwa zimesitishwa hapo MH Maghufuli alimuelewa waziri wake na kutoa kibali cha ajira na vijana wale wakaajiriwa.
Ujenzi wa makao makuu ya JWTZ DODOMA , katika hotuba ya MKUU WA MAJESHI jen MABEYO wa wakati ule, katika hotuba yake ya kitaalam juu ya ulinzi licha ya bajeti kubwa iliyotengwa na eneo walilopewa lkn bado alitaja eneo zaidi lililokuwa likihusisha milima kuwa Kote kunahitajika kuwa chini ya JWTZ kiusalama na rais alilidhia.
SGR huu ni mradi mkubwa na pendwa, tupo kwenye dunia ya UGAIDI, ubinafsi na choyo hivyo ni rahisi HUJUMA kuutafuna mradi huu wetu PENDWA ni wakati sahihi kuzingatia KAMA ULINZI NI GHALI BASI TUJARIBU UZEMBE, huu mradi tuache kabisa ile lugha yetu Tanzania ni nchi ya amani !! Tuweke ulinzi tena kwa kutumia JWTZ Kwa utaalam wao .