Dah, yaani hapo kwenye huu uzi, umenifikisha nyumbani. Natamani nilie nipige na kelele mpaka nizimie. Familia yangu inajua kunipa wazimu.
Waliosema charity begins at home hawakukosea. Yaani you lose a lot when you are from the family that doesnt give you peace. Mine inani suffocate.
2 Nailed kabisa tena msumari wa kofia ule wa bati.Mimi nimekuelewa sana mkuu. Especially hio point #2
Sahihi kbsa mkuu, hili la wake kusababisha migogoro baina ya ndugu Franco Luambo alilizungumzia vizuri sana kwenye wimbo wake wa 12600 lettersWakati mwingine Wake za Vijana wetu wa kiume wanachangia kuzorotesha mahusiano baina ya ndugu wa damu moja
Inapelekea ndugu wa damu kushindwa hata kusalimiana kutokana na kuingizwa sumu za maneno kupitia wake zao
Ndiyo maana Jamii ya Wahindi, hukaa na wakwe zao na watoto wao nyumba moja ili kuwa-monitor na kuharakisha ustawi wa biashara zao za familia walizo zianzisha
Jambo hilo kwa Tanzania haliwezekani l, watoto wapo radhi wagawane urithi walioachiwa na Baba yao badala ya kuuendeleza kama familia
Una akili timamu?Inategemea unazungumzia umasikini upi? Kuna kijana alikua na kila kitu ila kafa masikini hajazikwa hata na gari 1 alilolinunua, wewe unazungumzia umasikini upi?
Watafanya turudie enzi za kuwachagulia wake/waume vijana wetuSahihi kbsa mkuu, hili la wake kusababisha migogoro baina ya ndugu Franco Luambo alilizungumzia vizuri sana kwenye wimbo wake wa 12600 letters