Kama Familia yenu mnaishi kwa upendo, mshukuruni sana Mungu

Dah, yaani hapo kwenye huu uzi, umenifikisha nyumbani. Natamani nilie nipige na kelele mpaka nizimie. Familia yangu inajua kunipa wazimu.

Waliosema charity begins at home hawakukosea. Yaani you lose a lot when you are from the family that doesnt give you peace. Mine inani suffocate.
 

Pole sana Mkuu, Jitahidi kufocus na familia inayotoka kwako
 
Nowadays familia nyingi zina matabaka na changamoto nyingi sana. Tumetawaliwa na upendo wa kinafiki.
 
Sahihi kbsa mkuu, hili la wake kusababisha migogoro baina ya ndugu Franco Luambo alilizungumzia vizuri sana kwenye wimbo wake wa 12600 letters
 
Msisahau hawa manabii na mitume wamekuwa wavurugaji wakubwa wa familia. Hawa wahuni huhakikisha wanamharibu mama na mwishowe familia nzima inasambaratika.
 
Sahihi kbsa mkuu, hili la wake kusababisha migogoro baina ya ndugu Franco Luambo alilizungumzia vizuri sana kwenye wimbo wake wa 12600 letters
Watafanya turudie enzi za kuwachagulia wake/waume vijana wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…