William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Baada ya Tff kutoa hukumu yenye maneno matano tu "Feitoto "Ni mchezaji halali wa Yanga kimkataba"
Kwenye press release na hukumu waliyomtumia bila kufafanua chochote kwenye mkataba Licha ya kuomba kila Mara nimegundua anaonewa kwasababu mbili kuu.
Kwanza Ni mtanzania na Yuko chini ya Tff hivyo Tff wanaamini wanaweza kumkunja wanavyotaka.
Pili Ni Mzanzibari hivyo Tff hawana uchungu nae ata akiporomoka kisoka au wakimchanganya kisaikolojia kwani hatumikii timu ya soka ya bara Bari Zanzibar.
Sizungumzii usahihi au kutokuwa sahihi kwa maamuzi hayo Bali kupatiwa review ili aone vifungu vilivyomfunga akubaliane navyo au avipinge mamlaka ya juu.
Angakuwa Ni msenegali au mmalawi nazani mashilikisho ya nchi zao zingeingilia Kati na Tff kutoa review au hukumu ya haki. Lkn Sasa ndio wenyewe tu wanamfanya wanavyotaka na kuwaacha mashabiki mbumbumbu kumshambulia bila kujjua undani wake.
Ni hatari feitoto kukubaliana na upuuzi huu.
Nashauri Sasa Hilo alipeleke kisiasa. Kwanza ajione yeye Ni Mzanzibari, pili atumie shirikisho la soka Zanzibar kupigania haki zake ili wamtumie kwenye Michuano yao wakiwa timamu.
Kama ftt wanawaweza zff Basi atumie Wanasiasa wa Zanzibar ili swala lake liwe wazi akatafute haki anapopataka.