issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Wanandinga naomba tujadili hili.
Tumeona malanzimeni wamekuwa wakiongezwa toka wawili mpaka wanne, je kama ataongezwa mchezaji wa 12, unahisi atacheza upande upi uwanjani katika timu husika?
Karibuni tafadhali!