Kama Fiston Mayele ametupiwa jini akiwa huko nna uhakika wachezaji wote wa Simba wametupiwa majini

Kwa mawazo haya halafu mnataka timu yenu ichukue Caf Champions league?? Rage apewe heshima yake
 
Hahahahahaha daah nimecheka hadi basi

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli dini ile.mnacheza na majini ila nayo sio dini tu kuna watu kwao ni uchawi tu . Hadi keroo
 
Saido huyu? Acha kutania wewe simba fukuzeni saido kabla hali haijakuwa mbaya klabuni
 

Attachments

  • 20240207_114650.jpg
    114.3 KB · Views: 3
Kwahiyo hauoni kama umri umemtupa huyo saido? Hivi elimu munayojisifia nayo ndio hii yakuwaza ujinga?
 
Kwahiyo hauoni kama umri umemtupa huyo saido? Hivi elimu munayojisifia nayo ndio hii yakuwaza ujinga?
Umri, ubinafsi na vingine vyote vinaweza kuwa vinachangia. Sijatoa conclusion. Saido kacheza vizuri mechi moja tu akiwa na Simba na ni ile mechi yake ya kwanza baada ya hapo ni kuikaba timu yake
 
Hivi Mayele ameyajuaje Majini kwa lugha ya Kiswahili ?
Ni kwanini ayataje katika sakakata lake ?
 
Kwani huyu Mayele amewakosea nini Yanga hadi wanataka kumuua? Mbona waliagana vizuri wakati anaondoka?
 
Bado hamjasema, Mwisho wa Msimu wakati tumesha kusanya vikombe vyote ndio tutaelewana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…