Kama goli mbili alizoshinda Yanga ni chache zigeuze kuwa pakiti za chumvi uweke kwenye mboga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Natoa kongoleee kwa wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi pamoja na viongozi waandamizi wa Yanga.

Hakika mnastahili kongoleee kwa hii hatua mliyofika kwa kutanguliza mguu mmoja mbele kuelekea fainali.

Hii ni aibu sana kwa mashabiki wa simba /wachambuzi waliotumia nguvu kubwa kuikejeri Yanga kimataifa nakuandika makala /propaganda mbaya ili ionekane Yanga timu dhaifu na haiwezi kufanya vizuri kimataifa.

NALIA NGWENA naiona Yanga ikifika fainali na uwezo wa kuchukua kombe upo pasi na Shaka.

Goli mbili dhidi ya Marumo ni mtaji mkubwa haswa kwenye hii hatua ya nusu Fainali.

NB: Kama goli mbili ni ndogo geuza pakiti ya chumvi uweke kwenye mboga uone Kama utakula.
 
Moderator na JamiiForums mmefuta Uzi wangu niliouandika kuhusu mashabiki wa Simba kuizomea timu yao

Lakini huwa Kuna mashabiki wa Simba huwa wanakejeri na kutukana humu hamfuti nyuzi zao

Sasa Uzi wangu una makosa gani???

Haya endeleeni kufutaa Sasa Tena ikiwezekana mtuambie tusitoe maoni yetu humu kabisa.

Hii ahikubaliki.[emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Acha kulialia kisa uzi wewe TOPOLO

TAFUTA HELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…