Kama goli mbili alizoshinda Yanga ni chache zigeuze kuwa pakiti za chumvi uweke kwenye mboga

Natoa kongoleee kwa wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi pamoja na viongozi waandamizi wa Yanga.

Hakika mnastahili kongoleee kwa hii hatua mliyofika kwa kutanguliza mguu mmoja mbele kuelekea fainali.

Hii ni aibu sana kwa mashabiki wa simba /wachambuzi waliotumia nguvu kubwa kuikejeri Yanga kimataifa nakuandika makala /propaganda mbaya ili ionekane Yanga timu dhaifu na haiwezi kufanya vizuri kimataifa.

NALIA NGWENA naiona Yanga ikifika fainali na uwezo wa kuchukua kombe upo pasi na Shaka.

Goli mbili dhidi ya Marumo ni mtaji mkubwa haswa kwenye hii hatua ya nusu Fainali.

NB: Kama goli mbili ni ndogo geuza pakiti ya chumvi uweke kwenye mboga uone Kama utakula.
Akili yako imekutuma kwamba kuna ufanano wa magoli na chumvi?
 
hivi tuulize tu jameni wakati tunachagua kuwa mashabiki wa YANGA nyie wengine mlikua wapi?
Kwani vina muda basi.....

Kwa utopolo huu ,
FB_IMG_1683555618387.jpg
 
Natoa kongoleee kwa wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi pamoja na viongozi waandamizi wa Yanga.

Hakika mnastahili kongoleee kwa hii hatua mliyofika kwa kutanguliza mguu mmoja mbele kuelekea fainali.

Hii ni aibu sana kwa mashabiki wa simba /wachambuzi waliotumia nguvu kubwa kuikejeri Yanga kimataifa nakuandika makala /propaganda mbaya ili ionekane Yanga timu dhaifu na haiwezi kufanya vizuri kimataifa.

NALIA NGWENA naiona Yanga ikifika fainali na uwezo wa kuchukua kombe upo pasi na Shaka.

Goli mbili dhidi ya Marumo ni mtaji mkubwa haswa kwenye hii hatua ya nusu Fainali.

NB: Kama goli mbili ni ndogo geuza pakiti ya chumvi uweke kwenye mboga uone Kama utakula.
Hatimaye tumepata msaidizi wa POPOMA kwenye kuleta mada zisizo na mashiko
 
Back
Top Bottom