Kama goli mbili alizoshinda Yanga ni chache zigeuze kuwa pakiti za chumvi uweke kwenye mboga

Akili yako imekutuma kwamba kuna ufanano wa magoli na chumvi?
 
Hatimaye tumepata msaidizi wa POPOMA kwenye kuleta mada zisizo na mashiko
 
Unapata wapi ujasiri wa kumuita shemeji yako mrs? Sasa nipo na dada yako chumbani nakuzimia wi-fi ubaki na kajomba kako sebleni mnaangalia katuni pumbavuuuu
Makolo bhana toka mpigwe na Azam akili zimepotea kabiasa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…