Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Guys

Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda.

Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo

Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.

 
Hii nchi hii, mwingine anasema kukatika kwa umeme inaundwa TUME! Mwingine anasema ilikuwa hitilafu ya kawaida...Du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…