The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Inatakiwa uwe mwendawazimu sana ili umuelewe Gwajiboy (ndio jina linalomfaa). Jaribu kumfuatilia toka akiwa mshenga wa CHADEMA (Dr Slaa - akijitoa chadema, Lowasa akiingia CDM, Mbowe akimpokea Lowasa.)Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima.
Kwahiyo ulitaka wote watekwe na wauwawe ndio ujue ni wasimamia haki wa kweli.View attachment 3523519
Kichwa kiko wazi. Nashindwa kumuelewa tapeli na askofu wa kujipachia Josephat Gwajima. Anajitahidi kutupiga changa la macho akijifanya kulaani utekaji na maovu ya chama chake. Ukimchunguza, licha ya kuwa. tapeli wa kidini kama wengine wanaowahadaa na kuwaibia mazwazwa na wavivu waliokata tamaa, ni chawa wa kunuka.
Nashauri na kutahadhari, tumtahadhari kiumbe huyu ambaye wengi hawajamstukia. Sawa na machawa wengine waliobwagwa kwenye uteuzi wakaendelea kuunga juhudi, si Mpina wala wengine bali anaweza kuwa pacha wa Kabwe na tapeli la ubwabwa aliyejificha nyuma ya uaskofu wa kujipachika. Naweza kumuita mawala au njala mbaya.
Wazee wa J1 ..mmetoka ..? 😂Kuna mda na shindwa kukuelewa mtoa mada.
Huyo unasema tapeli kisa msema ukweli na huyu ! ,hata siku moja sijawahi kukuona ukisema.
We ni mfia dini tu.Hata dini yako akijitokeza kukemea utamuita majina ya ajabuView attachment 3523521
Mkesha wa mwaka mpya kafanya smart move ya kibabe kulinda chama. Nilipenda sana lile pichaView attachment 3523519