Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Ilikuwa juzi majira ya saa 4 asubuhi nipo home, ikaingia message ya mshkaji mmoja hivi inasema "nina shida nisaidie 300k mpaka kufikia saa 1 night ntakuwa nishakutumia pesa yako"
Kuna pesa nilipanga nimtumie dogo langu yupo chuo huko, nikafikiria niiasema kwakuwa jamaa atarudisha night acha nimtumie hiyo pesa ya dogo.
Huyu mwanangu hatupo close sana ila ni mdau ambaye ananipa madili nikiwa kitaa.
Sikuuliza hata anataka hiyo pesa kwa shida gani nikatuma chap na ya kutolea.
La haula!! Mpaka hivi sasa ninavyoongea hajatuma hata Mia na meseji hajibu na calls apokei ila ukipiga kwa namba ngeni anapokea na whatsapp ukituma texts ajibu Ana blue tick tu na yupo online wala hawazi😪😪.Tangu hiyo juzi.
Leo saa 9 usiku ndio akatuma ujumbe mfupi unasema"Ile pesa uliyoniazima nilinunua mkeka (correct score)kwa 250k kwa mzungu mmoja hivi na 50k nikaplace mkeka,bdaah mkeka umechana na sina hata Mia mbovu ila nipe mwezi mmoja ntakulipa pesa yako"
Daah imeniumiza mnoo hii na dogo nilimuahidi daah wadau tunarudishana sana nyuma.
Kama angeniambia anataka kununua mkeka nisingempa hata 50 mbovu.vUrafiki unakuwa uadui kiutani utani.
UKIOMBWA PESA ULIZA ANASHIDA GANI NDIO UTOE.
Picha ya mkeka sio ya mhusika.
Abby Uladu
Psychologist and journalist
Mbezi beach finest