Kama Haji Manara ameukana uraia wake naishauri Serikali impeleke Ukanda wa Gaza akajumuike na wenzake huko

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mtu huna adabu hata kidogo, unasema wewe sio Mtanzania, eti kwa sababu tu umefungiwa kujihusisha na soka, unasema hauko tayari kuishabikia Stars kwa sababu hutakiwi nchini.

Watu kama hawa ni hatari sana kwa usalama wa Taifa, anamtisha nani? Naishauri idara ya uhamiaji imuite huyu mkaidi na athibitishe kama kweli haitaki nchi mara moja safirisheni hadi Gaza Strip ikamtupe huko akabiliane na waisrael ambao wameshatoa masaa 24 watu wasambaratike eneo la Gaza.

Tutashukuru sana.
 
Acha ushamba hiyo kawaida sana uraia ni hiari kwa mtu. Hulipwi kua mtanzania, priority ya kwanza ni maiaha yako dini yako familia yako uraia badaye.
 
Nchi hii ukiwa na akil timamu huwez kuwa mzalendo hata sku 1
 
Siku za Umaarufu wake Kuisha na Kuyaanza Maisha mapya ya Mateso na Kuathirika Kwake Kisaikolojia zinakaribia / zimeshakaribia.
 
Umegeuza stori nzima wallah..!!
 

Sawa myahudi mweusi umesikika, kwa taarifa yako hata mimi pia sio shabiki wa taifa stars

Kama wewe ni kidume nenda kwa mayahudi wenzio ukawasaidie kama utarudi salama.

I stand with palestine 🇵🇸 mayahudi ❌
 
Wewe ndio hamnazo kabisa, kushabikia star lazima?
Tar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…