Kama Haji Manara ameukana uraia wake naishauri Serikali impeleke Ukanda wa Gaza akajumuike na wenzake huko

yaani unapoteza muda na hii pimbi kweli? mwanaume anayeshinda akibishana na wanawake kwenye instagram? bora hata ingekuwa twitter/x
 
Hakuna aliyepewa majukumu muhimu na mwenye enzi MUNGU akakubalika na Jamii kirahisi! Ama kuna kikundi kinamchukia ama hata familia! Ila ukweli mchungu ni hivii ukwamo ukifika lazima msaada utatokea hapo na mtamtafuta na kuomba radhi!
Pitieni mifano ya vitabu vitakatifu
 
Manara ni Albino a.k.a zeruzeru na itabaki hivyo na wengi wao ni punguani ikogo hivyo
 
Ndio maana napinga kabisa kinachoutwa Uraia pacha.
 
Siku za Umaarufu wake Kuisha na Kuyaanza Maisha mapya ya Mateso na Kuathirika Kwake Kisaikolojia zinakaribia / zimeshakaribia.
Ataishia kubaya sana..., mwisho aandamwe na misongo na Uchizi afe!

Watu wanamtunzia mafaili tu 😊😊😊

Serikali na watu wake kuharibu maisha yake na line yake ni dakika sifuri tu "0" wakiamua.

Amekuwa mropokaji na mwenye kuona hii nchi kama ya Baba yake au ya wale marafiki zake anaoshinda kutwa anajipendekeza kwao... Wale waarabu. Subiri Serikali impukutishe ukame umuandame, arudi maisha ya kushinda kwenye vibaraza vya misikiti ya Kariakoo ndo akili itamkaa sawa na nidhamu itakapomrudi.

Tena na hivi alikuwaga akipita hasalimii watu... HEHEHEEEE! ngoma nagwa πŸ˜‚πŸ˜ŠπŸ‘

Ni swala la muda tu!..., taratibu anayavagaa πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ‘
 
ukweli wa Mungu haji manara sio mtanzania tena kwa kuzaliwa,maana alizaliwa uholanzi wakati baba yake akicheza mpira,ujinga wa sunday baba yake akamleta Tanzania haraka akiwa bado mchanga na kumtengenezea cheti cha Tanzania kwa hofu eti mtoto wake angeibiwa na wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…