Kama Haji Manara ameukana uraia wake naishauri Serikali impeleke Ukanda wa Gaza akajumuike na wenzake huko

Ukaribu ( wa Kiurafiki ) wa Baba yake na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete ndiyo unampa Jeuri na Kiburi ila taratibu na Wao sasa wanaanza Kumnawa kiaina ila Yeye hajui na hajashtuka.
 
Huyu mbwiga tangu aseme bandari wauziwe Waarab kwa sababu aliijenga Sultani niliona ni mpunbavu wa kiwango cha lami
 
Ukaribu ( wa Kiurafiki ) wa Baba yake na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete ndiyo unampa Jeuri na Kiburi ila taratibu na Wao sasa wanaanza Kumnawa kiaina ila Yeye hajui na hajashtuka.
We muache! Na huyo Kikwete naye ana muda wake atachoka na kujiishia zake... haya wale walioishi kwa jeuri ndo watakapoelewa.
 
Marekani ame stand na Israel na amepeleka silaha na jeshi.

Huku watu wamening'ininiza kengele ndani ya kanzu wanajifanya Wapalestina
Mbona wagalatia kibao huku tz wanastand na israel hadi bendera wanazo lakini hawaendi huko israel?
 
Atalia njia nzima kwa mayowe na kwikwi za kutosha.Hivi hata skauti alipita kweli?πŸ€”
 
Mlevi huyo.Kila akitoa kauli apimwe ulevi ili kujua kama ni nguvu ya ulevi.
 
I stand with Palestine upo Makete si uende Gaza uka stand nao vizuri

Mnajipendekeza kwa mayahudi, aise nyie watu ni wa ajabu sana, mnatemewa lakini mpo nao tu πŸ˜„ hawaukubali ukristo lakini mpo tu πŸ˜„ hawamtambui yesu lakini mpo tu πŸ˜„
 
Reactions: Tui
Mnajipendekeza kwa mayahudi, aise nyie watu ni wa ajabu sana, mnatemewa lakini mpo nao tu [emoji1] hawaukubali ukristo lakini mpo tu [emoji1] hawamtambui yesu lakini mpo tu [emoji1]
Nlijua tu utakuja maana ukisikia waarabu wametajwa lazima uwashwe
 
Kwahiyo unataka niwachukie!! Ukristo wako ndio unakufundisha kuishi hivyo? Wale ni ndugu zetu katika imani hivyo upende usipende habari ndio hiyo
Wapi nmekwambia uwachukie? huwezi mchukia mtu alafu umihubirie injiri nmekushangaa akiongewa mwarabu unaumia kama vile wamegusa kende zako
 
Sawa myahudi mweusi umesikika, kwa taarifa yako hata mimi pia sio shabiki wa taifa stars

Kama wewe ni kidume nenda kwa mayahudi wenzio ukawasaidie kama utarudi salama.

I stand with palestine πŸ‡΅πŸ‡Έ mayahudi ❌
I stand with palestine too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…