Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
Yalikuwa ni maelekezo lengo Simba achukue ubingwa ila kubebwa huko inaonekana kushindikana kubebeka na ili auchukue ilitakiwa amfunge Yanga ila kashindwa.Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
Naunga mkono hoja.Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
😂😂😂Ubaya Ubwege.
Sahihi ingawa haifuti makosa ya makusudi ya refa wa juzi Simba na Yanga.Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
Si what nyie kenge, nani aliwazuia wasijiandae? Unaacha kuongea juu ya timu kayoko na figusu tigisu zake nje ya uwanja unahangaika na simba!?
Hivi tff, kayoko, mawaziri waneshindwa kujibu hoja za wale wazee?Yanga Bingwa.
Umesahau Manguruwe FC.Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
View attachment 3134085
Slogan Hii ndiyo wananchi walicopy na kuipest kweni.UBAYA UBWELAAA !
Lini hiyo Makolokolo SC waliitwa hivyo Chifu? 😁Umesahau Manguruwe FC.
Mechi na wana mangushi, refa kamaliza mpira alipoona goli linaenda kufungwa.Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.