Kama haki ingetendeka Simba wangekuwa na pointi 3 tu mpaka sasa

Kama haki ingetendeka Simba wangekuwa na pointi 3 tu mpaka sasa

Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
View attachment 3134085
Sekeseke lilianzia hapa kwenye Tano.
 
Hata kuibia mtihani darasani kunahitaji uwe na akili zako kwanza. Kama huna akili kabisa utashindwa kuibia mtihani hata kama majibu unayo mfukoni. Simba Wana timu mbovu na kocha mbovu, Kayoko alijitahidi sana kuwaokoa lakini ilishindikana. Kayoko ni Simba lialia mwenzao lakini Simba haibebeki.
Yalikuwa ni maelekezo lengo Simba achukue ubingwa ila kubebwa huko inaonekana kushindikana kubebeka na ili auchukue ilitakiwa amfunge Yanga ila kashindwa.
 
Hivi tff, kayoko, mawaziri waneshindwa kujibu hoja za wale wazee?
Hata mm ningekaa kimya kujibu mabwege waliochanganyikiwa. TFF na Kayoko wanashangaa lawama kwenda kwao wakati lengo la kumpanga Kayoko ilikuwa kuisaidia Simba.
 
Hata kuibia mtihani darasani kunahitaji uwe na akili zako kwanza. Kama huna akili kabisa utashindwa kuibia mtihani hata kama majibu unayo mfukoni. Simba Wana timu mbovu na kocha mbovu, Kayoko alijitahidi sana kuwaokoa lakini ilishindikana. Kayoko ni Simba lialia mwenzao lakini Simba haibebeki.
Umenichekesha kweli kweli. Umenikumbusha jamaa fulani tuko O Level yeye kuibia haachi. Kuanzia test mpaka NECTA. Kama utani akapata Div II ambayo kwa uwezo wake labda 3 ya mwishoni au 4. Ila alikuwa nazo zake kiasi.
 
Kuna tofauti kati ya kuiba mtihani na kuibia mtihani. Kuibia kunahitaji uwe na akili lakini kuiba utahitaji watu wengine wakufanyie mtihani.
 
Kuna tofauti kati ya kuiba mtihani na kuibia mtihani. Kuibia kunahitaji uwe na akili lakini kuiba utahitaji watu wengine wakufanyie mtihani.
Naelewa ndo nami nimeandika kuibia kama jamaa, sasa wenzetu hawawezi.
 
Kama ilikuwa haki yao,waongeze kilio.
Ingekuwa busara kama wazee wa Simba wangeenda kuwahoji mo dewj na magori kuhusu usajili waliofanya. Wawaulize kama Kuna wachezaji wangapi wa Simba ambao wanaweza kupata namba Yanga. Utagundua ni mavambo TU anaweza kupenya kwenye first 11 ya Gamondi na Ateba na Kagoma wanaweza kuwepo kwenye mbao ndefu ya gamondi. The rest sio levels za Yanga. Wahoji hizo 7b za usajili kama ni kweli au wanawadanganya.
 
Akili zako za kukusanya na kijiko.Kwa hiyo mchezaji akipata namba churani ndiyo anakuwa mchezaji?😂😂
 
Lini hiyo Makolokolo SC waliitwa hivyo Chifu? 😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Yanga ingekuwa ishashuka daraja ipo daraja la pili.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu).
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Back
Top Bottom