Kama hakuna Mzee au kiongozi yeyote wa kitaifa atamwambia ukweli Mzee Makamba, yajayo yanafurahisha

Hata mkijibiwa nyie chawa wa mambuzi hamuwezi kuelewa...
Watu wanasema wenyewe wamemuua wewe chawa unabisha
Conspiracy theory inaruhusiwa.
Magu alifanya mambo makubwa na kuwabana mapanya ilikuwa vigumu ku survive for long!
 
Nani alimuua JPM?..

Weka vitu bayana..wataje waziwazi hapa..otherwise ni uzushi tu..Kifo ni cha kila binadamu.
Tumaini said,"sorry wajinga wachache I can call them, rats of our nation,walimuona kama paka hatari katika nyumba alie taka kuangamiza uzao wote wamapanya ktk nyumba," end of quote.
 
Nani alimuua JPM?..

Weka vitu bayana..wataje waziwazi hapa..otherwise ni uzushi tu..Kifo ni cha kila binadamu.
Mimi naamini huyu Mhe. aliuwawa na kauli za wapambe wake waliofikia ujinga wa kiwango cha lami kumwita Mungu. Sasa Mungu huwa hashirikishi utukufu wake na mwanadamu, akafanya yake
 
Ww tunakujua ni TISS unaleta madaa za kushobokaa mwisho wa siku tukichangia mnakuja kutubeba usiku na Noah nyeusi na kututupa kwenye viroba kule mbezi ... Hakuna watu wanafki kama nyie mbwa
 
Mimi naamini huyu Mhe. aliuwawa na kauli za wapambe wake waliofikia ujinga wa kiwango cha lami kumwita Mungu. Sasa Mungu huwa hashirikishi utukufu wake na mwanadamu, akafanya yake
Hello brother! Usijee ukarudia kusema yule jamaa kauwawa ! Hawa jamaa wameona wananchii wameshtukia mchezo sasa wanataka kupiga shoka kwenye mzizi ! Epukaa sana
 
makamba ni sawa na gari lililokatika 'center bolt' tumwache tu akaporomokee panapomstahili!
 
Langu ni namna mtangulizi wa Magu alivyoendeshaa nchi na sasa same style inajirudia
 
Mzee Makambako umri unafyozidi kwenda mbele ndo busara inazidi kupungua. Ni mtu anayejisikia mno...anaona Kama hakuna mtu anayeweza kumdhibiti. Angejifunza kwa mzee Kinana. Mzee Kinana Ni mtu muungwana Sana. Msikivu Sana, Mvumilivu Sana. Hana majivuno. Kiujumla Ni tunu ya Taifa ktk wazee waliobakia.
 
Naisi unajua vitu vingi sijui wakati bado ujafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…