Kama hakuna ulazima, hakikisha WAFANYAKAZI wenzako hawapajui mahali unapoishi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako.

Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya family friend, hayo waachie wazungu.

Ikiwezekana mfanyakazi mwenzako asipajue unapoishi. Bodaboda wa mahali pa kazi wasipajue kwako labda pawepo na ulazima mkubwa.
 
Sio kutokujua unapoishi, hakikisha huna ushikaji kazini. Hakikisha hueleweki maisha yako nje ya kazi., familia, side hustles n.k.
Wakitaka kukuelewa unawavuruga.

Kwa wale waliojiajiri, hakikisha washikaji zako wasijue au wasisogelee kipato chako, na wasijue siri za biashara zako.
wasijue unatobiaje na kwa namna gani.
Uzoefu wangu kwenye kutafuta ni kwamba washikaji ndio watu wanaokuombea anguko lako kimya kimya pamoja na kwamba unakula nao, u awasaidia, mnalewa pamoja n.k
Washikaji ndio watu huiga mifumo na mapungufu yako kibiashara na kwenda kuanzisha au kuwapa wengine mawazo hayo. Usije kushangaa mshikaji wako, kafungua goli kama lako pembeni yako hapo hapo na kampa myu mwingine ionekane biashara sio yake.😁
Epuka washikaji/ushikaji eneo la kazi au la ridhiki. Utakuja nishukuru.
 
WAFANYAKAZI wenzako, marafiki wa maeneo unayofanyia kazi, wafanyabiashara wenzako ni nyoka hatari kwa maendeleo yako.

Mucheke, mupige kazi urafiki wenu uishie juu kwa juu. Achana na mambo ya family friend, hayo waachie wazungu.

Ikiwezekana mfanyakazi mwenzako asipajue unapoishi. Bodaboda wa mahali pa kazi wasipajue kwako labda pawepo na ulazima mkubwa.
Sure
 
Hakuna watu wanafiki kama Wafanyakazi wenzako....Do your Job, Get Paid and Go Home
 
Back
Top Bottom