Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kama una hela weka akiba ya hela, kama unaakiba ya chakula weka akiba ya chakula, Kuna uwezekano hali ikawa mbaya sana kuanzia June na kuendelea
Kwa yule kiongozi mambo muhimu haongelei, yaani ana majibu mepesi pale tumepatikanaMwambieni yule kiongozi ahimize kupanda miti aachana na mambo ya mipasho(CCM)
Ila wewe kweli hamnazo hayo maji ya kumwagilia nchi nzima mtayavuta bahari ya Hindi,Kilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati.
Serikali inatakiwa iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji nchi nzima.
Inawezekana hata kwa kutumia mikopo mradi ndani ya miaka miwili kila mkulima akawa na uwezo wa kulima muda wowote provided tuna maji ya kutosha.
Ndiyo maana waafrica hatuendelei Kwa kuwa na mawazo finyu Sasa Mungu anahusikaje na mvua,? hao wachungaji Kwa kujua huo ugonjwa wameendelea kujitajirishaKwenye Ile mikoa ambayo msimu wa Masika unaanza mwezi wa 11 hali ni mbaya mingine mpaka sahivi hakuna mvua ni msimu wa mvua. Na hii mikoa ndo mingi inayozalisha chakula kingi
Tofauti na Ile inayopata mvua mwezi wa tatu mpaka mwezi wa Sita mwanzoni
Kama una hela weka akiba ya hela kwa sababu ya scarcity vyakula vitaenda kupanda, kama unaakiba ya chakula weka akiba ya chakula, Kuna uwezekano hali ikawa mbaya sana kuanzia June na kuendelea
Watumishi wa kiroho huu ni mda wa kuombea mvua msisubiri Hali ikiwa mbaya mkasema mlitabiri sababu viashiria vyote vimeshaonekana
Kwa mtu anayeijua Jografia ya Tanzania hatakiwi kutoa comment kama hii ya kwako.Ila ww kweli hamnazo hayo maji ya kumwagilia nchi nzima mtayavuta bahari ya Hindi,,
Vyanzo vya maji (mito) inakauka kabisa nenda vijijini utajua!!!
Duuuu poleni Simanjiro (Manyara) kwa ukame unawakumba mpaka mifugo inakufa
Kama huamini kwenye Mungu ni sawa, lakini wako wanaoamini kwenye Mungu usilazimishe watu waamini unachoamini,Ndiyo maana waafrica hatuendelei Kwa kuwa na mawazo finyu Sasa Mungu anahusikaje na mvua,? hao wachungaji Kwa kujua huo ugonjwa wameendelea kujitajirisha
Kwani maji ya mito yanatokana nini, mfano Kilombero ifakara mito imekauka na chemchem zimekauka sababu ya uhaba wa mvua.Kwa mtu anayeijua Jografia ya Tanzania hatakiwi kutoa comment kama hii ya kwako.
Maji hayo utapataje hydrolysis kiini chake mvua labda useme maziwa ya maji baridiKilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati.
Serikali inatakiwa iwekeze kwenye kilimo cha umwagiliaji nchi nzima.
Inawezekana hata kwa kutumia mikopo mradi ndani ya miaka miwili kila mkulima akawa na uwezo wa kulima muda wowote provided tuna maji ya kutosha.
Kwa hiyo ww ndiyo unajua jografia,, basi kawaambia serikali ifanye kilimo cha umwagiliaji,, wakati hapa nchini aslimia 5 ndiyo wanategemea hicho kilimo hicho,, usifikiri kila sehemu kuna mito, sehemu nyingine wanategemea mvuaKwa mtu anayeijua Jografia ya Tanzania hatakiwi kutoa comment kama hii ya kwako.
Miti bila mvua ni maigizo!Mwambieni yule kiongozi ahimize kupanda miti aachana na mambo ya mipasho(CCM)