Kama hali ndio hiyi tuwaachie simba yanga na azam

Wee ni fala kweli.... mtibwa sugar wana kiwanja kizuri wapi?
 
Wee ni fala kweli.... mtibwa sugar wana kiwanja kizuri wapi?
Aisee ndio hasira za maisha au ni nini Mkuu, Kulikuwa na haja gani ya kuniita Fala? hebu jiheshimu basi, kama hujui unauliza tu na sio kutumia lugha ambazo hazina staha

Mtibwa sugar wana uwanja wao wa Manungu ambao ni mzuri tu kwenye pitch, ila walifungiwa wasiutumie kuanzia msimu uliopita kwakuwa ulikuwa hauna Fence na majukwaa machache yaliyochoka
 
U
Ushawahi kumuona Watford akiwa anaongoza ligi EPL
 
Pole mkuu ila Usijali watu kama hawa we mtag mods tu wanafanya kazi yao mtu una akili timamu huwezi mtukana mwenzako matusi kisa mmepishana hoja ni kutojielewa

Sent from my ndenjii 7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hamuongelei Bayern, Madrid, Benfica, PSG
 
Hakuna timu ndogo inayoonewa. Na mashabiki wa aina yenu ndio mlimshauri Malinzi aunde timu ya taifa eti kwa kutafuta vijana wenye vipaji mikoani.

Azam inazidiwa kiumri ,idadi ya mashabiki na akina Mtibwa sugar, Coastal union na pia Azam ni ndogo sana kiumri , idadi ya mashabiki ukilinganisha simba na yanga . Sasa unafikiri Azam ilichukua ubingwa mbele ya simba na yanga kwa sababu ya kubebwa?
 
Ligi ina mambo mengi ukiachia upande wa ubingwa kama maoni yako yalivyo base. Kuna wachezaji wanaendesha maisha kwa kucheza mpira.
It is all about money. Kombe ni extra tu.
Jiuliz3 kwa nini timu ndogo huhakikisha hazishuki daraja? Kwanza hata zawadi ya msgindi wa league huwa ndogo ukilinganisha na gharama za timu za msimu mzima.
 
Ongea kidogo kuhusu Bundesliga , Serie A, La Liga Hali ikoje huko. Ila zingatia hakuna ligi isiyo na vigogo kuanzia misuli ya kiuchumi.

Porini Simba huwa anamla swala na itakuwa ivyo daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…