Kama hali ya hewa itaendelea hivi, itakua ni neema kwa wakulima wakati wa mavuno

Kama hali ya hewa itaendelea hivi, itakua ni neema kwa wakulima wakati wa mavuno

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
katika maeneo mengi humu nchini hususani mashambani, hali ya hewa ni mwanana na inatia moyo sana kwa wakulima, huenda hii ikawa ni ishara ya matumaini kwa wakulima wa mazao mbalimbali humu nchini..

karibu jumuaya nzima ya Africa inafahamu, Malawi wana uhaba wa chakula, Burindi na Sudani Kusini na maeneo mengine barani Africa wana uhaba wa chakula pia..

Sio kwa ubaya lakini,
Hii ni fursa ya kipekee sana kwa wakulima wa Tanzania, nao kufurahia na kufaidi matunda ya jasho lao..
ni vizuri wahusika wa kisekta kujizuia na kujiweka kando kidogo kwenye kuingilia bei ya mazao bali kusimamia sheria na kutengeneza mazingira mazuri na bora zaidi ya kutotatiza wakulima kunufauka na fursa hii muhimu sana ya soko pana zaidi la mazao chakula barani Africa...
 
Back
Top Bottom