#COVID19 Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza

Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka

1. Umekaribia kustaafu

2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa

3. Mwenye uzito uliopitiliza

4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk

5. Unafanya kazi hospitalini,Kuwenye vyombo vya usafiri na sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu,makanisa,shule n.k.

6. Unafanya biashara ya kusafiri safiri hasa kwenda nchi za nje
 
Mi tokea serikali ipandishe kodi ya mihamala na kuongeza tozo ya majengo kupitia TANESCO, nimejifunza kwamba hawa majamaa hawatujali kabisa, ata hii chanjo wametugeuza mtaji tu, mi ngoja nitapambana na hali yangu tu aisee..
 
Nimechanja niko fiti

USSR
 
Mi tokea serikali ipandishe kodi ya mihamala na kuongeza tozo ya majengo kupitia TANESCO, nimejifunza kwamba hawa majamaa hawatujali kabisa, ata hii chanjo wametugeuza mtaji tu, mi ngoja nitapambana na hali yangu tu aisee..
HUU UPANDISHE KUWA UZI
 
Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza

Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka

1. Umekaribia kustaafu

2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa

3. Mwenye uzito uliopitiliza

4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk

5. Unafanya kazi hospitalini,Kuwenye vyombo vya usafiri na sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu,makanisa,shule n.k.

6. Unafanya biashara ya kusafiri safiri hasa kwenda nchi za nje
Tunatamani sana lakini bado kuna swali Kama tayri Nina MAAMBUKIZI na Nina hayo mapresha na mingeineyo NITARUHUSIWA KUCHANJA?
 
Tunatamani sana lakini bado kina swali Kama tayri Nina MAAMBUKIZI na Nina hayo mapresha na mingeineyo NITARUHUSIWA KUCHANJA?
Madaktari tulio nao humu watusaidie kujibu hilo swali lako mhimu.

Mimi nimeandika hili kwa sababu nina ushuhuda.
 
Mi tokea serikali ipandishe kodi ya mihamala na kuongeza tozo ya majengo kupitia TANESCO, nimejifunza kwamba hawa majamaa hawatujali kabisa, ata hii chanjo wametugeuza mtaji tu, mi ngoja nitapambana na hali yangu tu aisee..
😁😁
 
Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza

Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka

1. Umekaribia kustaafu

2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa

3. Mwenye uzito uliopitiliza

4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk

5. Unafanya kazi hospitalini,Kuwenye vyombo vya usafiri na sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu,makanisa,shule n.k.

6. Unafanya biashara ya kusafiri safiri hasa kwenda nchi za nje
...Naongeza hapo: kama una vijana ambao ni Wahangaikaji na kula yao inatoka Barabarani...Kachanje!![emoji846][emoji846]
 
Hasa pale unapokuwa una watu ambao wanakutegemea sana.
 
Mi tokea serikali ipandishe kodi ya mihamala na kuongeza tozo ya majengo kupitia TANESCO, nimejifunza kwamba hawa majamaa hawatujali kabisa, ata hii chanjo wametugeuza mtaji tu, mi ngoja nitapambana na hali yangu tu aisee..
Acha ukaidi nenda kachanje!
 
Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza

Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka

1. Umekaribia kustaafu

2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa

3. Mwenye uzito uliopitiliza

4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk

5. Unafanya kazi hospitalini,Kuwenye vyombo vya usafiri na sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu,makanisa,shule n.k.

6. Unafanya biashara ya kusafiri safiri hasa kwenda nchi za nje
Ushauri mujarab ila hujaweka kigezo cha umri...
 
Back
Top Bottom