macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unaposha watu. Kuna watu wengi tu walikuwa na afya nzuri, na umri kwenye miaka 38 waliofariki kwa covid! Kusema ukweli hakuna anayejua akipata covid mwili uta-react namna gani. Na kuna wazee wengi tu wamepona.Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza
Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka
1. Umekaribia kustaafu
2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa
3. Mwenye uzito uliopitiliza
4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk
5. Unafanya kazi hospitalini,Kuwenye vyombo vya usafiri na sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu,makanisa,shule n.k.
6. Unafanya biashara ya kusafiri safiri hasa kwenda nchi za nje