#COVID19 Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

Unaposha watu. Kuna watu wengi tu walikuwa na afya nzuri, na umri kwenye miaka 38 waliofariki kwa covid! Kusema ukweli hakuna anayejua akipata covid mwili uta-react namna gani. Na kuna wazee wengi tu wamepona.
 
Kwa hiyo unabidi kuzielewa points zote vizuri.kama hauko namba moja utakuwa na kigezo cha no.2,3,4 au tano.
 
Comment yangu ili-base kwenye vipengele vyote ulivyoelezea. Nikakuambia kuna watu ambao hawako hata kwenye kimoja lakini wamefariki kwa hawa virus.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…