Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Nchi Ina pesa sana hii.
Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ...
Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao.
Kila mwenye akaunti NMB ama CRDB, ama NBC, benki za kiserikali, zote zipigwe kila mtu aingiziwe laki Tano Tano ama milioni 1.. nchi nzima wenye akaunti benki hizo...
Wale ambao hawapendi akaunti za benki Wana namba za simu, wote waliosajiliwa laini zao, Samia awapige laki Tano Tano, ama milioni milioni ...Yan unaongea tu na watu wa voda, yas, Airtel, angalia lain zilizosajiliwa halali, wapige watu mzigo ..kitu "Imedhibitishwa SHDK3HSWDF umepokea 1,000,000 kutoka ....."
Halafu uone kama kutakua na hizi kelele mnazozisikia za maandamano.
Fanyeni hio mchongo nmewapa, Kuna mambo hata sio lazima utumie nguvu sana.