Waache kujilimbikizia zaidi ya kufuru waje wawakumbushe nyie,mpate japo kidogo ili mkumbuke kuwa sumbua au kugusa mikono yao kwenye bakuli la mlo pendwa?Nchi Ina pesa sana hii.
Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ...
Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao.
Kila mwenye akaunti NMB ama CRDB, ama NBC, benki za kiserikali, zote zipigwe kila mtu aingiziwe laki Tano Tano ama milioni 1.. nchi nzima wenye akaunti benki hizo...
Wale ambao hawapendi akaunti za benki Wana namba za simu, wote waliosajiliwa laini zao, Samia awapige laki Tano Tano, ama milioni milioni ...Yan unaongea tu na watu wa voda, yas, Airtel, angalia lain zilizosajiliwa halali, wapige watu mzigo ..kitu "Imedhibitishwa SHDK3HSWDF umepokea 1,000,000 kutoka ....."
Halafu uone kama kutakua na hizi kelele mnazozisikia za maandamano.
Fanyeni hio mchongo nmewapa, Kuna mambo hata sio lazima utumie nguvu sana.
Let’s be serious! Hii ndiyo aina ya solution Watanzania tunahitaji? Unsustainable solution?Nchi Ina pesa sana hii.
Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ...
Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao.
Kila mwenye akaunti NMB ama CRDB, ama NBC, benki za kiserikali, zote zipigwe kila mtu aingiziwe laki Tano Tano ama milioni 1.. nchi nzima wenye akaunti benki hizo...
Wale ambao hawapendi akaunti za benki Wana namba za simu, wote waliosajiliwa laini zao, Samia awapige laki Tano Tano, ama milioni milioni ...Yan unaongea tu na watu wa voda, yas, Airtel, angalia lain zilizosajiliwa halali, wapige watu mzigo ..kitu "Imedhibitishwa SHDK3HSWDF umepokea 1,000,000 kutoka ....."
Halafu uone kama kutakua na hizi kelele mnazozisikia za maandamano.
Fanyeni hio mchongo nmewapa, Kuna mambo hata sio lazima utumie nguvu sana.
Is that sustainable though?Sasa kama hawataki kusikiliza shida za watanzania kufanya Yale yawapasayo basi wahonge tu mana ndio they are good at it...
Laki 5 itabadilisha maisha ya mtu na vizazi vyake?Nchi Ina pesa sana hii.
Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ...
Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao.
Kila mwenye akaunti NMB ama CRDB, ama NBC, benki za kiserikali, zote zipigwe kila mtu aingiziwe laki Tano Tano ama milioni 1.. nchi nzima wenye akaunti benki hizo...
Wale ambao hawapendi akaunti za benki Wana namba za simu, wote waliosajiliwa laini zao, Samia awapige laki Tano Tano, ama milioni milioni ...Yan unaongea tu na watu wa voda, yas, Airtel, angalia lain zilizosajiliwa halali, wapige watu mzigo ..kitu "Imedhibitishwa SHDK3HSWDF umepokea 1,000,000 kutoka ....."
Halafu uone kama kutakua na hizi kelele mnazozisikia za maandamano.
Fanyeni hio mchongo nmewapa, Kuna mambo hata sio lazima utumie nguvu sana.
DuuuhHakuna mtakachopewa na kuandamana hamuwezi , labda utakachopata ni manundu ya virungu
Jumla kwa watu milion 60 itakuwa ngapi broo?Nchi Ina pesa sana hii.
Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ...
Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao.
Kila mwenye akaunti NMB ama CRDB, ama NBC, benki za kiserikali, zote zipigwe kila mtu aingiziwe laki Tano Tano ama milioni 1.. nchi nzima wenye akaunti benki hizo...
Wale ambao hawapendi akaunti za benki Wana namba za simu, wote waliosajiliwa laini zao, Samia awapige laki Tano Tano, ama milioni milioni ...Yan unaongea tu na watu wa voda, yas, Airtel, angalia lain zilizosajiliwa halali, wapige watu mzigo ..kitu "Imedhibitishwa SHDK3HSWDF umepokea 1,000,000 kutoka ....."
Halafu uone kama kutakua na hizi kelele mnazozisikia za maandamano.
Fanyeni hio mchongo nmewapa, Kuna mambo hata sio lazima utumie nguvu sana.
Kama kuna Watanzania milioni 60 na kila mmoja apewe shilingi milioni 1Jumla kwa watu milion 60 itakuwa ngapi broo?
Yes indeed. Tukihongwa tu basi. Kama wenje...wenje alisema aliowajoin walimuua kaka yake..na ni kweli...na alikua anampigania ..ila leo amepokea bongo Yuko wapi saivi...unasikia kelele zake za kuandamana ? Au za NRNE?Is that sustainable though?
Kuhonga mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu inawezekekana, lakini kuhonga umma wa Watanzania si tu hakuna mantiki bali pia sio sustainable!Yes indeed. Tukihongwa tu basi. Kama wenje...wenje alisema aliowajoin walimuua kaka yake..na ni kweli...na alikua anampigania ..ila leo amepokea bongo Yuko wapi saivi...unasikia kelele zake za kuandamana ? Au za NRNE?
They haven't done that for almost 60 years . ...what do you think they will do it now? Corruption is all they can think of and capable to doKuhonga mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu inawezekekana, lakini kuhonga umma wa Watanzania si tu hakuna mantiki bali pia sio sustainable!
Kwanini usiitumie hiyo hela kutatua shida zao in a more sustainable way?