Sisi tunamuamini Rais Magufuli kila anachochosema Kwasababu ni mcha Mungu
na wala hajatumwa na Wazungu kuja kuharibu Nchi km yule mgombea
Umeme utakuwa sawa na bwerere, tunamuomba Rais Magufuli awe makini na Chadema wasije wakabomoa bwawa
Kusafisha site( site clearance) ni trillion 2?Hicho kipengele cha mkandarasi kujilipa mwenyewe kutokana na mauzo ya umeme wewe na Lissu mmekitoa wapi? Maana mpaka sasa hivi mkandarasi ameshalipwa na serikali certificate saba zaidi ya tril 2. Acheni kupumbaza watu.
Sisi tunamuamini Rais Magufuli kila anachochosema Kwasababu ni mcha Mungu
na wala hajatumwa na Wazungu kuja kuharibu Nchi km yule mgombea
Umeme utakuwa sawa na bwerere, tunamuomba Rais Magufuli awe makini na Chadema wasije wakabomoa bwawa
Kusafisha site( site clearance) ni trillion 2?
Bas tumepigwaa
Tatizo hatuhoji kwasababu tumeaminishwa jiwe ni mtakatifuKinyama mazee
Kwahiyo kwa fikra zako ni kwamba Arab contractor wanaweza kutujengea kwa mkopo then tutawalipa baadae, unafualitilia jinsi serikali inavyowalipa kwa uwazi kabisa? Huo mradi ukikaamilika bei ya umeme itakua sh.65 kwa unit, yaani ukiwa na shilling 6500 unapata unit 100.Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi,nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa?....
Mtahoji kuanzia Novemba mtakatifu Lisu atakapoingia Ikulu.Tatizo hatuhoji kwasababu tumeaminishwa jiwe ni mtakatifu
Tatizo hatuhoji kwasababu tumeaminishwa jiwe ni mtakatifu
Kwahiyo kwa fikra zako ni kwamba Arab contractor wanaweza kutujengea kwa mkopo then tutawalipa baadae, unafualitilia jinsi serikali inavyowalipa kwa uwazi kabisa? Huo mradi ukikaamilika bei ya umeme itakua sh.65 kwa unit, yaani ukiwa na shilling 6500 unapata unit 100.
Acha kuweweseka pesa ni yetu wenyewe,mkandarasi akimaliza anatuachia mradi wetuKwa mfano,kama mkataba una kipengele kinachosema kiasi fulani cha fedha zitazotokana na mauzo ya umeme zitatumika kumlipa mjenzi/mkandarasi wa mradi, mkataba wa aina hii hauwezi kufanya bei kuwa kubwa kuliko inavyostahili?
Gesi ya mtwara ni uwekezaji kutoka kampuni ya kigeni ni tofauti sana na Rufiji hydro plant ambayo tunajenga kwa pesa zetu wenye ni project yetu kama tanzania bila ubia na mtu.Gas ya mtwara tuliaambiwaje?
Mradi unakaribia kukamilika alafu unaleta uongo wako?Kusafisha site( site clearance) ni trillion 2?
Bas tumepigwaa
Mungu anataniwa sana siku hizi? Hata waigizao huonekana ni wapenzi wa Mungu? God loves ever, kills never.
Acha kunipotoshaMradi unakaribia kukamilika alafu unaleta uongo wako?
Kwa hiyo pesa iatakayo ongezeka tufauti na hiyo iliyotangazwa kisu nado ataitoa au? Au magufuli atatoa mfukoni mwake? Ni bora angesema kuwa hiyo ghalama ya ujenzi ni kubwa na bei halisi ni chini tungeweza kumuamini, Tundu ana shida sana yeye anafikiri ndo mkweli wengine ni waongo?Japo ni kweli kuwa umeme unaotokana na maji huwa ni wa bei nafuu kulinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine kama vile mafuta, gesi,nuclear, n.k , lakini je,si kweli kuwa mkataba wa ujenzi wa chanzo husika cha umeme unaweza kufanya bei ya umeme kuwa kubwa kuliko inavyotarajiwa?...
Magufuli sio mjinga hadi asaini mikataba ya kijinga, kama hamna sera semeni
Hicho kipengele cha mkandarasi kujilipa mwenyewe kutokana na mauzo ya umeme wewe na Lissu mmekitoa wapi? Maana mpaka sasa hivi mkandarasi ameshalipwa na serikali certificate saba zaidi ya tril 2. Acheni kupumbaza watu.
1.5 tilion ziko wapiSisi tunamuamini Rais Magufuli kila anachochosema Kwasababu ni mcha Mungu
na wala hajatumwa na Wazungu kuja kuharibu Nchi km yule mgombea
Umeme utakuwa sawa na bwerere, tunamuomba Rais Magufuli awe makini na Chadema wasije wakabomoa bwawa
Fisadi mkubwa huyo 1.5 tilion iko wapiMagufuli hawezi kuuza Nchi ni Mzalendo haswa
Usimfananishe na wale waliotumwa na Wazungu
Magufuli hawezi kuuza Nchi ni Mzalendo haswa
Usimfananishe na wale waliotumwa na Wazungu