BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Unawezaje kumuamini muongo kama huyo!? 😳
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Sisi tunamuamini Rais Magufuli kila anachochosema Kwasababu ni mcha Mungu
na wala hajatumwa na Wazungu kuja kuharibu Nchi km yule mgombea
Umeme utakuwa sawa na bwerere, tunamuomba Rais Magufuli awe makini na Chadema wasije wakabomoa bwawa