Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Safi Sana mkuu Nimependa hio list.. WOTE Hao wako cool Ila Kuna majamaa pia nawakubali kama Masanja, mwelewa
 
nakaribia i think next week ntakuwa na trophy points kam 2...na iv
 
Sijaelewa yani MTU ametuma post sitini na tano elfu au macho yangu 65000 posts mh
Mkuu hapo mwenyewe nimeafiki icho cheo chake mana dah wala sitarajiiii hukooo
 
Ndiyo mkuu bado kidogo ufike likes 500 upewe 100 trophy nlikuwa sijakuewa na iyo 2 mpaka nimekukagua kwa profile
ah nikuwa na maanisha nitakuwa na trophy points kweny 200 na kitu ivi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…