Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Kama hauko katika hizi listi fanya uwepo mwanaJF

Mkuu umependelea maana mimi natoa likes,na coments,michango mpaka pesa zikihitajika za kujenga jukwaa lakn simo kwenye orodha au hao ni wa Ccm bado sisi wa chadema
 
sio kweli
Mkague huyo mtu mkuu yaani kwa uwiano ni kwamba kila post messages inampa like na zingine hazimpi ila kuna zingine zinampa likes zaidi ya moja
 
Mkuu umependelea maana mimi natoa likes,na coments,michango mpaka pesa zikihitajika za kujenga jukwaa lakn simo kwenye orodha au hao ni wa Ccm bado sisi wa chadema
Mkuu messages 160+ bado sanaaa watu wana 65000+
 
Daah! Kumbe mimi bado Aisee! Najitafuta kwa tochi Lakin wapi!
 
Back
Top Bottom