wana Jf,nimekua sikosi hata siku moja bila kupitia jukwaa hili la biashara,limenijengea kujiamini kwa hali ya juu,nimejifunza mambo ya biashara mbalimbali,imekua kama lecture ya ukweli sana kwangu,ila kuna baadhi ya members hujifanya wanajua au wanaweza kufanya mambo flani au kuwa partner kwenye biashara flani na wakati mwingine huwa wanatoa namba ila ukimtafuta anaanza bla bla,mi ningewaomba kwamba hii si sehemu yao,hii ni sehemu ya watu serious kinachopostiwa huku ni kitu halisi hivyo wakae pembeni.