kama hauko serious hii si sehemu ya kupost

kama hauko serious hii si sehemu ya kupost

Mopalmo

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
534
Reaction score
139
wana Jf,nimekua sikosi hata siku moja bila kupitia jukwaa hili la biashara,limenijengea kujiamini kwa hali ya juu,nimejifunza mambo ya biashara mbalimbali,imekua kama lecture ya ukweli sana kwangu,ila kuna baadhi ya members hujifanya wanajua au wanaweza kufanya mambo flani au kuwa partner kwenye biashara flani na wakati mwingine huwa wanatoa namba ila ukimtafuta anaanza bla bla,mi ningewaomba kwamba hii si sehemu yao,hii ni sehemu ya watu serious kinachopostiwa huku ni kitu halisi hivyo wakae pembeni.
 
Ni kweli kama mtu hajui kitu ni vyema anyamaze kuliko kujifanya unajua kumbe hajui lolote.
Naunga mkono hoja mkuu
 
Fo shoo,for shizzle! shida kuna kundi la businessman wannabees ambao bado wana-fantasize, wanaogopa kushika tope,hebu chukueni maamuzi magumu na tuwe serious....wakenya wanatusua sana coz wapo serious kwenye issues...no gimmicks,mia!!!
 
kweli kabisaa, kama hujui kitu kaa kimya waache wanaojua watoe comment zao... si ustaharabu huo
 
Back
Top Bottom