Kama hauna Bilioni 10 haumpati Luis Miquisson

Kama hauna Bilioni 10 haumpati Luis Miquisson

Acha kumtukuza kule kumfunga mwarabu basi gharama yake b10 hivi wewe umeenda shule kuna mchezaji wa simba anayezidi m500 mchezaji wa maana hawezi kubaki simba vilabu vikubwa vingemchukua mara moja
Hivi unaweza kufananisha wachezaji wa ndondo na wa kimataifa yanga mkichukua wachezaji wenu wote wa kigeni hawafikii thamani ya konde boy
 
Hakuna blah blah !

Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.

Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au tunafikiria OFA yako. Hivyo kuna uwezekano tukaikataa!

This is SIMBA.......
Mo ataumuuza kwa pikipiki 7
 
yaani yule bwana mdogo nikimuonaga uwanjani nafsi yangu ua inatulia kabisa...
 
Sidhani kama tutakua na Luis msimu ujao...mchizi amekiwasha sana kwenye michuano hii...tangu game na plateau.
Maana kama Walter Bwalya yupo yupo Al ahly...Msuva yupo Wydad...Ulimwengu yupo Tp Mazembe tujiandae kwakweli.
WEWE ULIONA MBALI
 
Back
Top Bottom