Kwamba Miquisone aende uto๐๐ uachage dharau mkuu ujue๐๐Ahaaaaa,mnawakatisha tamaa Uto.
Walikua wanajipanga wamvute msimu ujao.
"mambo gani sasa haya ya B10 tena jamani"
Hivi unaweza kufananisha wachezaji wa ndondo na wa kimataifa yanga mkichukua wachezaji wenu wote wa kigeni hawafikii thamani ya konde boyAcha kumtukuza kule kumfunga mwarabu basi gharama yake b10 hivi wewe umeenda shule kuna mchezaji wa simba anayezidi m500 mchezaji wa maana hawezi kubaki simba vilabu vikubwa vingemchukua mara moja
Mo ataumuuza kwa pikipiki 7Hakuna blah blah !
Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson.
Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au tunafikiria OFA yako. Hivyo kuna uwezekano tukaikataa!
This is SIMBA.......
Samatta kafikia malengo yake, katimiza ndoto kucheza premier league, kafunga na goli, kafunga fainali ya carabao..Aangalie asipotee kama Samata
WEWE ULIONA MBALISidhani kama tutakua na Luis msimu ujao...mchizi amekiwasha sana kwenye michuano hii...tangu game na plateau.
Maana kama Walter Bwalya yupo yupo Al ahly...Msuva yupo Wydad...Ulimwengu yupo Tp Mazembe tujiandae kwakweli.
DaahSimba yote hakuna mchezaji mwenye thamani ya bilion moja, labda Kama mnazungumzia bilion ya Zimbabwe.
DuuAcha kumtukuza kule kumfunga mwarabu basi gharama yake b10 hivi wewe umeenda shule kuna mchezaji wa simba anayezidi m500 mchezaji wa maana hawezi kubaki simba vilabu vikubwa vingemchukua mara moja