Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Kila siku ww kulaumu una negative mindset hauoni madaraja yanayojengwa baki huko huko tu usije kutuharibia nchi yetu
Hauoni mabarabara yanayojengwa unalaumu tu kila kitu baki hukohuko
.
Hauoni ufufuaji wa shirika LA ndege baki huko huko
Hauoni faida ya Reli inayojengwa tunakuomba ubaki huko huko
Hauoni athari za uonevu ulivyokuwa umekita mizizi baki huko huko
Hauoni umuhimu wa bwawa LA umeme la MTO Rufiji baki huko huko
Hauoni Terminal 111 baki huko huko
..
.Hauoni faida ya utetezi wa rasilimali za nchi yetu baki hukohuko hatukuhitaji
Watu wanaotuwekea magoti shingoni kutuua kama wanyama unataka Leo hii ndo wakutumie kuharibu nchi yako baki huko huko