mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Huu ujinga naonaga chadema mnaongea Sana kwaio unataka serekal iwafanye Raia Wake kua matajir Yan wewe matako kweli dunia mzima Kaz ya serekal ni kutengeneza miundo mbinu ili iwarahisishie raia Wake Katika shughuli zao za kiuchumi na kupitia Mirad io baadh ya raia wapate ajira
Mfano nyie chadema mkichukua nchi mtafanya Nini ili muweze kututoa watanzania kwenye umaskin au mtatugawia hela?
Mfano nyie chadema mkichukua nchi mtafanya Nini ili muweze kututoa watanzania kwenye umaskin au mtatugawia hela?
Nani alikwambia kuna Taifa lilipiga hatua kwa kujali maendeleo ya vitu na kupuuza watu wake ambao ndio nguvu kazi ya Taifa?