Huu ujinga naonaga chadema mnaongea Sana kwaio unataka serekal iwafanye Raia Wake kua matajir Yan wewe matako kweli dunia mzima Kaz ya serekal ni kutengeneza miundo mbinu ili iwarahisishie raia Wake Katika shughuli zao za kiuchumi na kupitia Mirad io baadh ya raia wapate ajira
Mfano nyie chadema mkichukua nchi mtafanya Nini ili muweze kututoa watanzania kwenye umaskin au mtatugawia hela?
Usimuite jiwe Rais wa nchi ww mtoto wa kahaba usiyekuwa na maadili unapomdhiihaki kiongozi mkuu wa nchi hasa Magufuli aliyejitoa kwa ajili yaa nchi yake utakuwa zezeta www Mr president anafanya kweli